meme.co.ke

Memeke: Fun on memes

Shoba Gatimu @shobanes Leo ngware nilikuwa kwa matatu, tukapita bar /pub flani, ilikuwa imeshona mpaka nje watu wako sherehe fully. Dikonko akaroroa, 'Yaani, Mungu yule yule aliyeninyima mpaka za chai leo, Mungu yuyu huyu ndio amewapa hawa mpaka za kulewa chakari?' Nimewaza sana hili jambo leo. Translate Tweet 5.30 PM Jan 16, 2022 Twitter Web App 242 Retweets 6 Quote Tweets 795 Likes
0
Nov 21, 2025

Comments

Coming soon.